Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Tag Archives: Kitaifa

Tag Archives: Kitaifa

Timu za soka za Simba na Yanga zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Timu za soka za Simba na Yanga za Jijini Dar es Salaam zimezuiwa kutumia Uwanja wa Taifa kwa muda usiojulikana kutoka na mashabiki wao kusababisha uharibifu wa miumbombimu ya Uwanja  wa Taifa yakiwemo mageti ya kuingilia Uwanjani na kung’oa viti kwa upande wa mashabiki wa Simba. Uamuzi huo umetolewa leo Jijini …

Soma Zaidi

WAZIRI MKUU MH KASSIM MAJALIWA AHAMIA RASMI DODOMA

Waziri MKUU Kassim Majaliwa amesema kuanzia sasa mtu yeyote mwenye shida ya kuonana naye itabidi amfuate Dodoma na kwamba atarudi Dar es Salaam pindi akiitwa na Mheshimiwa Rais au Makamu wa Rais. Ametoa kauli hiyo leo jioni (Ijumaa, Septemba 30, 2016) wakati akizungumza na viongozi mbalimbali na wakazi wa mji …

Soma Zaidi

Watu wanne washikiliwa Morogoro kwa jaribio la kuvamia kituo cha polisi

Polisi mkoani Morogoro inawashikiria watu wanne wakazi wa Mzumbe wilayani Mvomero, kwa tuhuma za kujaribu kuvamia kituo cha polisi Mzumbe, baada ya kuwepo kwa taarifa za kufariki kwa mtuhumiwa mmoja aliyejulikana kwa majina ya Mustapha Aloyce, aliyekuwa akishikiriwa na Polisi kwa tuhuma za wizi. Tukio hilo limetokea mara baada ya …

Soma Zaidi

Wachimbaji 10 wanusurika kufa Mirerani Baada ya kuzimika kwa Genereta Mgodini

Wachimbaji 10 waliozama kinyemela ndani ya mgodi wa Tanzanite one katika machimba ya Tanzanite Mirerani Wilyani Simanjiro wamenusurika kufa baada ya Jenereta waliokuwa wakiitumia kuzima ghafla ndani ya mgodi. Taarifa zinabainisha kwamba vijana hao walizama kinyemela katika moja ya migodi inayomilikiwa na Mwekezaji Mkubwa kampuni ya Tanzanite one Jumapili ya …

Soma Zaidi

Zana haramu za uvuvi 1,062 zateketezwa mkoani Simiyu

Wilaya ya Busega mkoani Simiyu imeanza kuteketeza zana haramu za uvuvi katika oparesheni ya kukamata wavuvi walioshindwa kusalimisha zana hizo kwa muda wa siku 10 walizokuwa wamepewa na Mkuu wa Wilaya hiyo Tano Mwera. Katika oparesheni iliyoongozwa na mkuu huyo wa wilaya, zana haramu 1,062 zimekamatwa na kuteketezwa kwa moto …

Soma Zaidi

Mkoa wa Mara wajipanga kukitokomeza Kilimo cha Bangi

Serikali imejipanga kukabiliana na watu wanaofadhili kilimo cha bangi katika wilaya za Tarime na Serengeti mkoani Mara kwa kuwakamata mawakala wao na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria ili kutokomeza kilimo hicho. Akitoa taarifa ya hali ya usalama mkoani Mara Dokta Charles Mlingwa amesisitiza kuwa serikali inazo taarifa za kiintelijensia juu …

Soma Zaidi