Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Tag Archives: Michezo

Tag Archives: Michezo

Chama cha soka barani Africa CAF chapata mdhamini mpya

Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limepata mdhamini mpya baada ya kumalizika kwa mkataba wake na kampuni ya mawasiliano ya Orange. Orange imekuwa mdhamini mkuu wa mashindano makubwa ya CAF kwa miaka minane tangu 2009. Kabla ya hapo, kampuni nyingine ya mawasiliano ya MTN ndiyo iliyokuwa mdhamini kwa miaka minne. …

Soma Zaidi

Tanzania kutuma wanamichezo saba Olimpiki Rio

Tanzania kwa mara nyingine itawakilishwa na kikosi kidogo cha wanamichezo katika Michezo ya Olimpiki, mwaka huu michezo hiyo ikifanyika Rio de Janeiro. Tanzania itawakilishwa na wanamichezo saba katika michezo hiyo itakayofanyika kuanzia Agosti 5 hadi 21. Kikosi cha sasa hata hivyo kimeongezeka kidogo, kutoka kwa wanariadha sita waliowakilisha Tanzania Olimpiki …

Soma Zaidi

Messi na baba ake jela Miezi 21

Mshambuliaji wa Argentina na Barcelona, Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela kutokana na kulipa kukwepa kodi, vyombo vya habari vya Hispania vimeripoti. Baba yake, Jorge Messi, pia amehukumiwa kifungo kwa kukwepa kulipa kodi inayokadiriwa kufikia Euro 4.1 milioni kwa kipindi cha kuanzia 2007 hadi 2009. Pia, wawili hao …

Soma Zaidi

Chile waibuka kidedea dhidi ya Argentina Copa America

Michuano ya Copa America imefikia tamati leo hii kwa mabingwa watetezi Chile kuendeleza ubabe wake dhidi ya Vigogo wa soka duniani Argentina. Dakika 120 za mchezo huo zilishuhudia timu hizo zikienda suluhu ya bila kufungana. Mchezo huo ulitawaliwa na ubabe wa hapa na pale huku ikushuhudiwa timu zote mbili zikimaliza …

Soma Zaidi