Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Kiss FM Live

Kiss FM Live

12 Maoni

 1. elibariki kateman

  katavi hamckiki kabsa rekebisheni mitambo tuweze kuwapata

 2. Kwa kweli bila ya ubishi sahara media yaan kissfm rfa na startv mnaelimisha na ku2buridisha ila ongezeni bidii ktk kuboresha vipnd vyenu ili milele mue bora

 3. Nafurahi kuona mmerudi ONLINE maana niliwamiss sana KISSFM

 4. KISS FM ni shida. Hapa Witness Pale Adam ni Shida

 5. Star tv bado mnakilisha

 6. Wataelewa ila ongeza kasi

 7. VP HABARI NAIPENDA KISS FM NISHIDA

 8. Halafu star tv mnapoteza washa iki kwa kipendelea cha kimoja

 9. Naomba kuuliza kwann sikuhizi Star Tv haiko online na pia RFA haisikiki kabisa. Star Tv ndiyo tv pekee iliyokuwa tegemeo kwetu sasa sielewi na ninyi mmekuwaje tena Taifa liko gizani.