KUBORESHA ZAIDI BANDARI YA TANGA

KUBORESHA ZAIDI BANDARI YA TANGA

- in Kitaifa

Mamlaka ya Bandari Tanzania ipo kwenye mchakato wa kupata vifaa vipya vyenye uwezo mkubwa wa kupakia na kupakua shehena na mizigo katika bandari ya Tanga ikiwa ni maandalizi ya kuupokea mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania.

Meneja wa Bandari ya Tanga Henry Arika ametoa kauli hiyo mbele ya ujumbe wa wataalamu kutoka Uganda waliokuwa wameongozana na katibu mkuu wa Wizara inayoshughulikia masuala ya jumuiya ya Africa Mashariki wa nchi hiyo Edith Mwanje.

Facebook Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like

Wananchi waandamana kukosa maji baada ya mhudumu wa maji kukamatwa na DC

  Na, Ahmed Makongo, Bunda; WANANCHI wa kitongoji