Majaliwa: Viwanda havitasimama kwasababu ya migogoro

Majaliwa: Viwanda havitasimama kwasababu ya migogoro

- in Biashara na Uchumi

SERIKALI imesema kuwa haita kubali kuendelea kusimamisha viwanda kwa sababu wa migogoro baina ya viwanda hivyo na vyama vya ushirika kwa maslahi ya watu wachache na kuwa viwanda vitaendelea kufanyakazi wakati matatizo yakishighulikiwa na serikali.

Kauli hiyo inatolewa na waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa ambayo ameitoa alipo tembelea kwenye kiwanda cha Chai cha Lupembe mkoani Njombe ambacho kilisimama kwa muda na kusababisha miundombinu yake na mali zake kudaiwa kuhujumiwa.

Waziri mkuu baada ya kutembela kiwanda hichi anakutananna wananchi wa kijiji cha Igombola  ambapo anasema kuwa wanakulima waendelee kulima chai na kupeleka kiwandani hapo kwa kuwa hakitasimama.

Imeandikwa na Furaha Eliabu.

Facebook Comments

1 Comment

  1. lameck simbi jayunga

    Star tv ni media pekee nchini tanzania inayo Habarisha,Elimisha, pamoja na Kuburudisha kwa kina na kwa undani zaidi.lover star tv,Rfa lover Tz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like

Bei ya nafaka yapanda Mbeya.

BEI ya mazao aina ya nafaka katika baadhi