Makambako yatengewa bilioni 2 za mradi wa maji.

Makambako yatengewa bilioni 2 za mradi wa maji.

- in Kitaifa

SERIKALI imetenga shilingi bilioni mbili (2) kwaajili ya kusaidia kutatua tatizo la maji katika mji wa Makambako mkoani Njombe huku milioni 800 zikitengwa kwaajili ya kuchimba visima maeneo mbalimbali ya Mji huo.

Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ametoa kauli hiyo ya serikali kwa kuwa mji wa Makambako ni mji mkubwa wa kati ambao ni mapitio ya kwenda nchi za Zambia na Malawi.

Facebook Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like

Wananchi waandamana kukosa maji baada ya mhudumu wa maji kukamatwa na DC

  Na, Ahmed Makongo, Bunda; WANANCHI wa kitongoji