Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Programme

135 Maoni

 1. Muweke ratiba za vipindi vyenu tupate kuwafuatilia

 2. Hampatikan uku songea miez 3 sasa

 3. MeddyFox Chaurembo

  Hii Television Bhana , Yani Kipindi Ninachokipenda Ni Dira Ya Dunia Tyuu ” Ratiba Ya Vipindi Hamna , Vipindi 70% Vibovu , Kuweni Seriously na Biashara … Streem LIVE Mmetoa! Yani Full Michosho…!

 4. Ivi nyie star tv hamuwezi weka ratiba yenu ya vipindi kila siku?? Mnaboa!! Afu mbona ratiba zenu hazipo siriaz mara mumuweke gwajima kwenye ratiba ya kipindi kingine. U lack seriousness for real.

 5. Igeni mazuri kutoka ITV. Inawapasa kuweka ratiba ya vipindi daily. Inakuwa vigumu kufuatilia vipindi vyenu.

 6. Jamani naomba msiache kuonyesha be careful with my heart naona mnatangaza mnaanzisha tamthilia nyingine Thats not acheni iishe kwanza ndo mwanzishe him Bridges of Love sijui

 7. bad choice cause it is aint nothing but wastage of time. star tv live mnazingua

 8. Naomba kupewa namba ya simu au email ya mchangiaji katika mjadala kipindi cha tuongee asubuhi july 10 aliyekuwa mwanza mwandishi wa habari wa siku nyingi katika mijadala hapo star tv alisifu shirika moja ambalo limeleta mpango wa kuanzisha viwanda vijijini dakika za mwisho kwa ujumla taarifa hiyo imetugusa tunaomba namba zake za simu au email au shirika alilotaja kuleta mpango wa viwanda na kilimo ngazi za chini.

 9. Jaman kuhusu Tomorrow belongs tu me ataaa sieelewiii imefkiaaa wp ratbaa za star tv znaaachoshaa wakiwambiaa baaada yaa wiki baaasi mieeez 3

 10. Jaaaaman Tomorrow belongs to me vp khaaaaaaa mnaaatukaaataa huondo…….

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *