Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Programme

135 Maoni

 1. Kipindi cha JICHO LETU NDANI YA HABARI cha siku ya jumamosi ni cha kipekee zaidi kikiwa na Dotto

  Tafadhali kama hamtojali kiongezewe muda, yaani kianze saa moja kamili hadi saa tatu kamili asubuhi (7:00AM to 9:00AM)

 2. jamani ina kapatid anak tutaipata wapi trasled in english

 3. mbona leo star tv haioneshi kbisa ipo giza mturudishie bridges of love kuanzia jana mnazingia

 4. aisseee manazingua bhna ndo maana super brand kila siku ITV

 5. Sorry guys ningeomba mturudishie time ile ile ya bridges of love ila muwafanyie hao wengine fair time ya marudio iwe jumapili yaonyeshwe ya wiki nzima ili iwe fair kwa siye wengine jamani
  Na hata wakati mnaanzisha hii program saa moja ilikuwa shida ila nika adopt so hao wengine wapen marudio yao ila siye wengine tuliofuatilia since day one hamjatufanyia fair
  Please guys bring back bridges of love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *