Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Programme

135 Maoni

 1. HONGERENI.

 2. Tuko Zanzibar hatuna mawasiliano ya vipindi vyenu miezi miwili na watatu unaingia tuoneeni huruma

 3. Jamaniii mbona hatukupateni yafika miezi miwili na watatu unaingia kwa nini inakua hivi

 4. sasa kwa nini hamna program zenu hapa?????????????
  zinapatikana wapi sasa kama sehemu sahihi zinazopaswa kuwepo hazipo?

 5. Nawapongeza sana Startv kwa programu na ratiba moto moto.
  ila naomba kujua pa kupata mfululizo wa vipindi(ratiba zenu) au muwe na utaratibu wa kuonyesha ratiba hiyo katika muda fulani…

  STAR MPO JUU SANA!!!!

 6. 2nashukuru sana kwa vpnd vyenu vzr..ila me nilikua napenda kujua..kama imetoke chanel zimefutika jinc ya kuipata star tv..frequenc zake nizip sis tuna tumia decoda apa kahama..naomben msaada wenu tumechoka kutozwa ela kwaajili ya kurekebishiwa vitu vidogo kama ivyo jaman

 7. Nawapongeza kwa vipindi bora kuliko tv yoyote tz hasa kuanzia alasili jitahidini kuondoa tatizo la kukatika matangazo

 8. Za kazi, mimi ni mtumiajI wa dstv nilikuwa nasema hivi kuwa ebu turushieni matangazo ya my eternal halaka kwasababu inakaribi kuisha

 9. Habari za saha hizi StarTV, naitwa Costa hapa Australia. Kwa muda mrefu sasa najaribu kuipata StarTV na RFA bila mafanikio. Namshukuru mungu kwa kuwapata hapa naomba mnisaidie kuipata RFA pia tafadhalini. Naomba mnijulishe jinsi ya kuipata RFA kwenye intaneti

  Asanteni sana

 10. nawapongezasana.lakininawaombahiitamthiliayamyenternalmuongezemudaataikiwezekanaionyeshwekilasiku.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *