Sunday , September 24 2017
Mwanzo / RFA Live

RFA Live

44 Maoni

 1. Startv mpo vizur sana katika matangazo yenu .

 2. Siwapati siku hizi

 3. elibariki kateman

  katavi hatuwapati rekebishen mambo tuendelee kuenjoy na RFA

 4. Mnasikika murua online
  hongeren

 5. RFA naipata vizuri sana ila Start TV live ndo siwapati sijui kwa nini? Naomba mnisaidie if possible!

 6. mko vizur sana

 7. Nafurahi kuona mmerudi ONLINE nawapata vizuri sana nikiwa ITALY maana nili wamiss sana RFA.

 8. RFA nawakubali kwa watangazaji mahiri na wanaofuata maadili ya kazi ya utangazaji. Pia kwa vipindi vizuri vinavyoelimisha jamii

 9. RFA Nawakubali kwa watangazaji mahiri wanaofuata maadili ya utangazaji na vipindi vizuri vinavyoelimisha jamii

 10. RFA NA STARTV NAWAKUBALI KINOMA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *