Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Coverage

24 Maoni

 1. jifunzeni kwenda na tarehe kwani tangu mambo ya miezi iliopta ndio tukifungua tunaona

 2. Mbona startv haipatikani kigoma.station hii inapendeka sana kama kuna tatizo tunaomba mrekebishe tuweze kuwapata.

 3. Hi startv,mbona siku hizi hatuwapati hapa kasulu?kama mmebadilisha frequency zenu tupeni ii nasi wananchi wa kasulu tupate vipindi vyenu!

 4. Startv ni kati ya chaneli bora sana hapa Tanzania na ina watu wengi wanaoitazama kwa sasa. Lakini huku Mtwara tunaotumia dish hatupati tena. Kuna shida gani? Kama kuna jambo lolote mtufahamishe. Siyo kila mahali wanatumia ving’amuzi. Tulio vijijini tunatumia dish za zamani.

 5. hampatikani kwenye setelite

 6. mbona siku hizi startv haishiki kwenyedish? au mmebadili friquency?

 7. ABDALLAH UMANDE

  MBONA StarTV HAPA IRINGA MJINI,,HAMPATIKANI TANGU JUZI MCHANA KWA WASIOTUMIA VING’AMUZI NA SATELITE DISH?.?

 8. nyinyi kama sikosei mnategemea matangazo kiuchumi msijidanganye kudhani kuingia mfumo wa kulipwa per view mtafaulu kwa tanzania bado haijafikia huko, lazma channel zionekane free mkusanye mapato kwa matangazo?

 9. star tv haionekkani hapa kwetu Kondoa, Dodoma, katika sattelite dish hivi karibuni na hali watu wa huku hatujafikiwa nahiyo huduma ya vingamuzi wapo zuku ambao ni lazima ununue dishi lao bei ni ghali tofauti na vingamuzi vya star times ambavyo vipo Dodoma mjini tu. Hivyo huku mnatufanyia vibaya kwa kutunyima matangazo yenu.

 10. nakutakia afyd njema baba wa africa au babu yangu nelson mandela,mkombozi wa bara letu,mungu akubariki akuponye nanguvu zikurudie uwe imara,amen.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *