SHULE YA JESHI LA WOKOVU DAR -ES- SALAAM YAPATA MSAADA

SHULE YA JESHI LA WOKOVU DAR -ES- SALAAM YAPATA MSAADA

- in Kitaifa

Shule ya Msingi Jeshi la Wokovu ya jijini Dar es salaam, inayotoa elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum, ina upungufu wa walimu wa Sayansi na Hisabati kwa muda mrefu hivyo imeiomba serikali kuwasaidia watoto wenye uhitaji ili wapate elimu.Hayo yamesemwa wakati wa kupokea msaada wa Baiskeli na Fimbo kwa watoto wenye ulemavu wa macho na miguu kutoka kwa taasisi ya Mohamed Punjan ya nchini CANADA.

Facebook Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like

Makambako yatengewa bilioni 2 za mradi wa maji.

SERIKALI imetenga shilingi bilioni mbili (2) kwaajili ya