StarTV Live

VN:D [1.9.22_1171]
Rating: 4.6/10 (1467 votes cast)
VN:D [1.9.22_1171]
Rating: +72 (from 446 votes)
StarTV Live, 4.6 out of 10 based on 1467 ratings

655 Comments

 1. MASSIMO says:

  Watanzania msipige kelele kukosa Sukari kwani Wakati CCM na Serekali yake ilipokuwa inaua viwanda kwa kubinafisisha mlikuwa wapi?. Wakati viwanda vya Sukari, Bia, Nguo na Matairi vinabinafisishwa mlikuwa wapi?. Watanzania kwa kulalamika mnaweza shinda medali ya Dhahabu. Mliwachagua CCM lakini mtakoma. Hata siku moja FISI hawezi kuwa KONDOO.

 2. Steve says:

  Tunashukuru kwa maoni yenu Wadau. Tunawahakikishia kuwa sauti kati ya RFA, Kiss FM na Star TV kwenye mtandao haziingiliani. Tumefanya majaribio kwenye simu za Android na iOS, pia kwenye browsers aina 6. Tunachobaini, mwingiliano unaweza kuwepo pale unapobofya kitufe cha Play cha mojawapo ya channel halafu unabofya kingine bila kubofya Stop kwenye kile cha awali. Njia rahisi kuondokana na hili likijitokeza ni ku Refresh browser yako kisha ku Play kinachokuhusu. Ahsanteni na karibu tena.

 3. Consolata Nyambune says:

  Mwingiliano wa sauti kati ya Startv, RFA, KISSFM, kweli upo.Ila kabla hili halijawekwa sawa na wahusika au watueleze lengo ni nini. Ambacho mimi huwa nafanya ni kuvistop vile ambavyo hauhitaji kusikiliza .

 4. cosmas hinju says:

  naomba mtusaidie kuondoa mwingiliano wa sauti za RFA,KISS FM na STAR TV tunapata shida ya nini tusikilize ama kutizama

 5. Abel Masanja says:

  Habari Star Tv,

  Kuna mwingiliano wa wa sauti kati ya RFA, Kiss FM na Star Tv, naomba mrekebishe hilo. Vinginevyo nawashukuru kwa namna ya pekee kabisa kwa kutuwezesha na sisi tuliombali na nyumbani kujua nini kinaendelea huko.

  Ahsanteni sana

Leave a Comment