Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Star TV Live

828 Maoni

 1. thanx is better kutuwekea online tv lakini naomba mtandao uboreshwe maana kidogo tu utaona sever not found mpaka inaboa

 2. hongereni sana star TV nawapata vizuri online nikiwa INDIA…
  Keep it up

 3. why cwapat live onlinejaman wengine twaishi polini.

 4. Startv mbona nimeshindwa kuona startv Online

 5. Jamhuri David William

  Hongera P. Mabuga na timu nzima ya Star TV kwa vipindi vya kusisimua na kuelimisha.

 6. audifance chitimbwa

  wengi tunapenda kutumia star tv kwa njia ya mtando lakini inakuwa vigumu namna ya kujiunga tunaomba maelekezo zaidi.

 7. acheni ubabaishaji,mnasema mpo online wakati not found,uzeni samaki huko mwaloni wehu nyie

 8. TUNAOMBA MTUFAAMISHE JINSI YA KUJIUNGA NA STARTV LIVE

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *