Saturday , September 23 2017
Mwanzo / Star TV Live

827 Maoni

 1. star tv mnaukiritimba mkubwa sana, hamtaki kutoa matangazo yenu kwa warushaji kama zuku na azmtv, kwasababu mnajua wanpatikana vijijini, acheni ufisadi wa habari. dialo ni mwana ccm mzuri acheni kumuangusha

 2. Jamani naomba mnielekeze jinsi ya kuwawatch online

 3. Mnatunyima raha ya sikukuu Europe hampatikani LiveTv imekatika! Rekebisheni haraka tunamiss sana

 4. acheni kuwakera watazamaji wenu

 5. Naomba mnisaidie, mbona mie naangalia startv live kwa kusuasua, au kuna kitu natakiwa kufanya. naombeni msaada

 6. TUNAOMBATUWAPE NGUVU ILI WAONGEZE JUHUDI ILI MAWASILIANO YAWE YA UFANISI ZAIDI

 7. STARTV NI ZAIDI YA TV KWANI KINATUABARISHA

 8. Charles Gombo watson

  mm huwa napenda sana vipindi vyenu ila malanyingi huwa natzama kwa on line ila sasa siwapati kwani kunatatizo au mm2 ndio siwapati? kama niwengi basi jitaidini kubolesha mitambo yenu tunawaflaiya sana huduma zenu tusaidieni jamani tupate huduma za tv on line hamtutendei haki wzenu maususi mimi kwakuwa ketu hakuna tv huwa natumia cm au computer nikiwa hofisini

 9. Jaman Mbona mwaweka DW badala Ya Her Mothers daughter. Mnatuharibia sikuee

 10. Star TV mko vizuri hasa kipindi cha tuongee asubuhi – magazeti na majadiliano. Pia matangazo ya BBC London

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *