Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Star TV Live

828 Maoni

 1. Jeremiah Michael

  Hivi SMG hamna wataalamu wa mtandao? Mbona habari zenu ni za toka mwezi wa kwanza ndio zipo kwenye tovuti yenu kila siku ha hazitolewi zikawekwa mpya …. alafu, live tv yenu inazingua ikionesha hazipiti hata dakika 10 inakata. Toeni nafasi za kazi kwenye sekta hiyo mbona wenye fani hiyo wapo wengi tu. ANSWER ME PLEASE … sijaandika kujifurahisha

 2. Mara mnapatikana mara hampatikani jamani! !! Mnakera! !!

 3. Jamani, inakuwaje kwenye king’amuzi cha Dstv channel 291 mnakata kata? ?? Tena kama jana watu tunaangalia BBC Swahili nyie mnakata kata? ?? MNA TATIZO GANI? ? Wenzenu tunalipia jamani, MUIFUTE BASI HIYO CHANNEL YENU.

 4. Nahitaji kujua marudio ya bridge of love ratiba ikoje

 5. mbona huku mbeya tukilipa 36000 unaoewa dekoda tu
  dish haupewi mie safari mbeya [0754485973]

 6. mbna siwaelew mbona inakuja clouds tvyaan web yaani star tv inaoneyesha clouds tv n maajabu gan haya

 7. mbna siwaelew mbona inakuja clouds tv

 8. mbna siwaelew mbona unakuja clouds tv

 9. mbna siwaelewi hiv hii ni star tv au clouds

 10. Hakika si tu kwamba mnaudhi, bali mnakera kabisaaa.
  King’amuzi cha Continental kimeshindwaje kuteka soko la Tanzania, na kwingineko?
  Katika king’amuzi hicho mmejaza channel nyingi ambazo hazina radha.
  Mmeshindwa kuwa na channeli, angalau moja tu inayo onyesha Sports LIVE, kama vile MPIRA wa Miguu. Mnazungumzia ZBC ambayo muda wote imesinzia, na haionekani.
  Channel ya Star Sports nayo mnaonyesha Recorded events za Olympic iliyo pita-Brazil.
  Kipindi kinachoibeba Star TV kwa sasa ni kile cha Philipines Drama Series. Sie wateja wa Continental Decoder, tunahitaji angalau channel moja tu; itakayokidhi mahtaji ya soko la ushindani. Vinginevyo iwapo tunaruhusiwa kurejesha King’amuzi hichi, turuhusiwe turejeshe na Pesa zetu mturudishie.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *