Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Star TV Live

828 Maoni

  1. Star tv inakuaje mnakoswa app…???.

  2. Boreshi mnajitahidi

  3. Napenda mnajitahidi..lakini msikate tamaa

  4. Comment…jamani star TV mbona hatuwaelewi sisi wateja wenu tushazoea kuwa mnatuletea tamthiliya za kifilipino lakini sasa hivi mmehamia mexico kwa taarifa ni kwamba hiyo tamthiliya ya beats of love watu wengi wameshaiona hasa wale wenye ving’amuzi vya azam TV huwa inaonyeshwa azam one kila Sikh SAA tatu in bora tu kurudi ufilipino maana kuna tamthilia nyingi sana hatujapata kuziona in bora mkatuletea doble kara ya Filipino LA sivyo washabiki tutapungua

  5. Huduma zenu siyo nzuri hata kidogo kwani hatupati direct video yaani habari inakatakata tu mpaka kero

  6. nn sababu kubwa mbona hampatikani

  7. HAIPATIKANI DAILY INASEMA “VIDEO FILE NOT FOUND”

    TUACHE UBABAISHAJI KAMA KITU HAKIWEZEKANI HAINA HAJA YA KUTUAMBIA CLIENT.

  8. star tv mbona mawenge mara hampatikani na mkipatikana mabo hovyo tu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *