Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Star TV Live

828 Maoni

  1. star tv mbona mawenge mara hampatikani na mkipatikana mabo hovyo tu

  2. Ukweli kwa sasa hameleweki hata kidogo hususan upande wa tamthilia za kiphilipino mmepoteza mwelekeo 100% hata upande wa vipindi vya uchambuzi nako jahazi lazama uwiii sijui tuangalie nini na wapi?

  3. Hivi ndg zangu wa STARTV mposerious kweli au mnatania. hebu check kipindi cha magazeti leo asbh. Yani hakisikiki hata kidogoo. Mwangwi tupu. Naona jamaa wanapiga story tuu. Si muige kwa wenzenu jamanii

  4. Nawapata vizuri ila sauti tu ndio haisikiki

  5. Mbona mnaikataa hii

  6. Star tv hii program niyakwenu au vp

  7. Kuwe sana wabunifu wazuri

  8. Jacqueline kimata

    Mbona vipindi vyenu havieleweki jaman..mtu unakaa mpaka saa sita kusubiria marudio ya tamthilia halafu hamuoneshi na wala hamtoi taarifa ya kutoonesha tanthilia mbona utaratibu wenu unakua m’bovuuu???

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *