Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Star TV Live

828 Maoni

 1. Star tv sikuhizi taabu kupatikana hasa asubuhi kipindi cha magazeti . Nipo Muheza Tanga

 2. Mbona hatuwapati moshi mjini?

 3. Your good

 4. Faustina hangaya

  Endeleeni na kasi Hiyohiyo,
  . vinaelimisha Sana.

 5. Faustina hangaya

  Nawapongeza sana kwakuboresha hudumazenu,
  Star TV inapatikana bila tatizo Lolote.

 6. Hamdun malseri
  Hana hadhi ya kuchambua mgogoro Wa CUF kwani MTU aliyekuwa CUF muda mrefu akitumika kama alivyo lipumba

 7. Hello blogger, i must say you have high quality articles here.
  Your website can go viral. You need initial traffic only.
  How to get it? Search for: Mertiso’s tips go viral

 8. Vipi star tv mbona hatuwapati kwa hawa mnaweka hawa wachina all the time?

 9. Hallow starttv tunaomba mtatue tatizo kwa halaka iwezekanavyo” THE PROMISE 2” ndo mpango mzima,tutaumwa

 10. Hallow starttv tunaomba mtatue tatizo linalowasumbua ,namlejeshe”THE PROMISE 2”
  Maana wengine tunakalibia kulazwa kwa kukosa tamthilia hii

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *