Wabunge Tanzania wahitaji msaada zaidi

Wabunge Tanzania wahitaji msaada zaidi

- in Kitaifa

Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka nchi za jumuiya ya Nordic wakiambatana na wawakilishi kutoka shirika la maendeleo la umoja wa mataifa UNDP ambalo limekuwa likiendesha mradi wa kuwajengea uwezo wabunge na watumishi wa Bunge.Katika mazungumzo hayo Spika Ndugai amewaomba wahisani hao kuendelea kuusaidia mhimili wa bunge katika mradi huo ili kuendelea kujenga uwezo kwa wabunge na watumishi ili waweze kuwajibika ipasavyo.

Facebook Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like

Wananchi waandamana kukosa maji baada ya mhudumu wa maji kukamatwa na DC

  Na, Ahmed Makongo, Bunda; WANANCHI wa kitongoji