Wafanyabiashara walioificha sukari wafanyiwa maombi maalumu..

Wafanyabiashara walioificha sukari wafanyiwa maombi maalumu..

- in Biashara na Uchumi

sugar

Askofu wa Good News for all Ministry Dokta Charles Gadi amefanya maombi maalumu ya kuwafungua wafanyabiashara wa sukari nchini walioficha bidhaa hiyo ili kuacha tabia hiyo inayowatesa watanzania.

Kupitia maombi hayo ametoa siku tatu za kuwataka wafanyabiashara hao kuitoa sukari ambayo itahitajika zaidi hususani katika kipindi hiki ambacho waislamu wanatarajia kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Facebook Comments

1 Comment

  1. Geoffrey mlowe

    Mpangilio ni mzuri sana endeleeni kubooresha zaidi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like

Majaliwa: Viwanda havitasimama kwasababu ya migogoro

SERIKALI imesema kuwa haita kubali kuendelea kusimamisha viwanda