Wakazi wa Chimala Mbeya wabuni mikopo bila Riba

Wakazi wa Chimala Mbeya wabuni mikopo bila Riba

- in Biashara na Uchumi

loan

Wakazi wa Kata ya Chimala wilayani Mbarali mkoani Mbeya wameanzisha utaratibu wa kukopeshana fedha za maendeleo bila riba ili kukabiliana na changamoto ya masharti magumu ya upatikanaji wa mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha nchini.
Utaratibu huo unaoitwa NDILO huwawezesha wakazi hao kuchangishana fedha kila mwezi na kumpa mmoja miongoni mwao ambaye anapaswa kuzirudisha fedha hizo bila riba baada ya kuzifanyia shughuli za maendeleo ikiwemo elimu, biashara, ujenzi na nyinginezo.

Facebook Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like

Majaliwa: Viwanda havitasimama kwasababu ya migogoro

SERIKALI imesema kuwa haita kubali kuendelea kusimamisha viwanda