Wakazi wa Tabora walia na bei ya sukari Mwezi mtukufu wa Ramadhan..

Wakazi wa Tabora walia na bei ya sukari Mwezi mtukufu wa Ramadhan..

- in Biashara na Uchumi

Sukari

Wakati waumini wa Dini ya Kiislamu wakiendelea na funga ya Mwezi mtukufu wa Ramadhan, hali ya upatikanaji wa sukari kwa Mkoa wa Tabora inadaiwa kutoridhisha kutokana na bei ya bidhaa hiyo kufikia hadi shilingi elfu tano katika baadhi ya maeneo ya vijijini.

Hali hiyo imewafanya waumini wa dini ya kiislamu kuwa katika wakati mgumu kwa vile funga yao kwa asilimia kubwa inategemea bidhaa hiyo.

Bei ya Sukari katika Mkoa wa Tabora inaanzia shilingi elfu tatu hadi elfu tano kwa kilo,huku wakazi wengi wakishindwa kumudu kuinunua.

Facebook Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like

Majaliwa: Viwanda havitasimama kwasababu ya migogoro

SERIKALI imesema kuwa haita kubali kuendelea kusimamisha viwanda