Watoto wenye albinism Lamadi wapaza sauti kwa jamii

Watoto wenye albinism Lamadi wapaza sauti kwa jamii

- in Habari

PICHA YA MAKTABA

Watoto wenye Albinism wanaolelewa kwenye kituo cha kulea watoto wenye mahitaji maalumu cha Bikira Maria mama wa Mungu msaada daima, kilichopo katika mji mdogo wa Lamadi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamesema kuwa pamoja na kuwa na ulemavu huo, wao pia wana haki ya kuishi kama binadamu wengine.

Wameyasema hayo kwenye maadhimisho ya siku ya kupinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) yaliyofanyika katika Kata ya Lamadi wilaya ya Busega mkoani Simiyu.

Maadhimisho hayo yameanza na maandamano, ambapo pia kulikuwa na kwaya zilizokuwa na ujumbe mbalimbali juu ya walemavu hao.

Facebook Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like

KESI YA SALUM NJWETE “SCORPION”: Shauri kusomwa Novemba 30 Ilala

Upelelezi wa kesi inayomkabili Salum Njwete maarufu kama Scorpion