Tuesday , October 17 2017
Mwanzo / Habari / Kitaifa / Iringa / Waziri Mkuu Majaliwa atua Iringa tayari kwenda Njombe.

Waziri Mkuu Majaliwa atua Iringa tayari kwenda Njombe.

​Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ametua leo asubuhi katika uwanja wa ndege wa Nduli mkoani Iringa tayari kuelekea mkoani Njombe kuendelea na ziara ya kikazi katika mkoa huo.

Mhe. Majaliwa alilazimika kukatiza ziara yake mkoani njombe na kwenda Dar Es Salaam kwa shughuli ya kikazi.

Mkoani Iringa Waziri Mkuu amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza.

Kuhusu Kisibi Isaya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *