Wimbi la Maandamano nchini Marekani

Wimbi la Maandamano nchini Marekani

- in Kimataifa

Wimbi la maandamano limepamba moto katika miji mbalimbali ya nchini Marekani wakimtolea ujumbe Rais mteule Donald Trump ajirudi na kuachana na viashiria vya kuwa muumini wa sera za kibaguzi.

Facebook Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like

KUBORESHA ELIMU KWA WATOTO WA KIKE:Serikali yahimiza ujenzi wa mabweni

Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hasan